TANGAWIZI KAMA DAWA NA FAIDA ZAKE
TANGAWIZI ni kiungo kinachotokana na mizizi ya mmea wa tangawizi.
Mmea huu unafanana na binzari ikiwa bado haijamenywa maganda yake. Kwa hapa Tanzania, hulimwa zaidi katika mikoa ya nyanda za juu kusini na baadhi ya
mikoa kama Kilimanjaro, baadhi ya maeneo ya mkoa wa Manyara, Morogoro na kwingineko.
Ina faida zaidi hasa kwa wagonjwa walioathirika na maambukizi ya Ukimwi. Hivyo, kwa wale wenye matatizo ya aina hiyo, wanaweza kufaidika zaidi na maaajabu ya mmea huo - tangawizi.
Namna ya kutumia katika nafasi yake ya dawa, ikiwa imesagwa au mbichi imepondwa, inaweza kutumika kama kinywaji na imezoeleka kwa watu wengi.
Namna rahisi ya kuitumia tangawizi ni katika chai. Inakuwa mbadala wako wa majani ambayo yenyewe huwa na vimelea vya kafeini, ambavyo vinachangia magonjwa mengi mwilini.
Pia, inaweza kutumika katika vyakula hasa nyama na mboga zingine, kuongezwa katika ‘juisi freshi’ na kuleta ladha nzuri ambayo ni dawa.
Kuna mambo yafuatayo yanatokana na matumizi ya tangawizi:
-Kuongeza hamu ya kula.
-Kupunguza kichefuchefu.
-Kutapika na kuharisha.
-Inatibu kisukari.
-Shinikizo la damu.
-Kuongeza msukumo wa damu.
-Kutoa sumu mwilini.
-Maumivu ya tumbo.
-Gesi tumboni.
Pia,tangawizi inasaidia kuyeyusha chakula tumboni mwa binadamu. Vilevile, ina nafasi ya kusaidia matatizo ya mafua na magonjwa mengineyo.
Mmea huu unafanana na binzari ikiwa bado haijamenywa maganda yake. Kwa hapa Tanzania, hulimwa zaidi katika mikoa ya nyanda za juu kusini na baadhi ya
mikoa kama Kilimanjaro, baadhi ya maeneo ya mkoa wa Manyara, Morogoro na kwingineko.
Faida zake
Tangawizi ni kati ya mimea mingi yenye maajabu. Unaweza kutumika kama dawa na kutibu magonjwa zaidi ya 72 mwilini mwa mwanadamu.Ina faida zaidi hasa kwa wagonjwa walioathirika na maambukizi ya Ukimwi. Hivyo, kwa wale wenye matatizo ya aina hiyo, wanaweza kufaidika zaidi na maaajabu ya mmea huo - tangawizi.

0 Comments